Habarini ndugu zetu, naamini tuko powa kabisa, kujipatia somo letu la
leo juu ya matumizi ya computer yetu. Leo complex system inawaletea njia
za kurudisha password kwa microsoft windows 7/vista na kwa XP.
Hii njia husaidia pindi inapotokea umesahau password ya computer yako,
ama imegoma mtu kakubadilishia kwa njia yoyote ile. Tuache story nyingi
twende kazi kama ifuatavyo;
KWA WINDOWS XP
Inapowasha computer yako ikawaka na kukuletea sehemu...
Monday, December 22, 2014
WINDOW 8 ACTIVATION
Wadau leo ningependa share nanyi windows8 activation ambayo ndio windows
8 Permanet ACTIVATOR na Pia ni UNIVERSAL ACTIVATOR ya Microsoft
windowsXP/ 7/VISTA na Windows 8, Office package activator na pia windows
server inakuwa activated.
Hivyo ndivyo inavyoonekana kwa mara ya kwanza wakati umefungua tuu
program hii...Na kwa kuongezea tu hii program (activator) huwezesha
activations hata za OFFICE, ambayo wengi wetu huwa zinakuwa hazijawa...