Monday, December 22, 2014

HOW TO RESET WINDOW XP/7/VISTA PASSWORD

Habarini ndugu zetu, naamini tuko powa kabisa, kujipatia somo letu la leo juu ya matumizi ya computer yetu. Leo complex system inawaletea njia za kurudisha password kwa microsoft windows 7/vista na kwa XP.

Hii njia husaidia pindi inapotokea umesahau password ya computer yako, ama imegoma mtu kakubadilishia kwa njia yoyote ile. Tuache story nyingi twende kazi kama ifuatavyo;

KWA WINDOWS XP

Inapowasha computer yako ikawaka na kukuletea sehemu ya kuweka password kwa windows XP



Sasa we Bonyeza " CTRL +ALT+ DELETE "

Yaani control alaf alt na delete "del" ukibonyeza hivi kwa windows xp hubadili screen na kukuletea screen nyingine, nayo hfanana hivi:


Ile sehemu ya username andika : Administrator
na sehemu ya password usiweke kitu:_________

Hapo utaingia moja kwa moja kama administrator wa computer yako, na hapo unaweza kwenda sehemu ya "user account" na ku REMOVE password kwa user yeyote kwenye computer yako...kwa mfano huu

Nenda kwa control panel alafu chagua user account


Baada ya kuingia kwa user account chagua account, alafu chagua change password


Badilisha pasword alafu baada ya hapo RESTART computer yako...DONE!


Sasa hapo ukiwasha computer yako, nenda kwa akaunt ambayo umeisha badili password alafu ingiza password yako uliobadili kwa utaratibu tulioupitia wote hapa.

NOTE: Hii huwezekana kama wakati wa installation hukuchukua option kama Administrator, so ikigoma twende sawa kwa njia zifuatazo hapa chini


KWA WINDOWS 7/VISTA
Windows 7/vista wako vizuri kidogo katika kuhakikisha haulogin kwenye computer kizembe zembe, lazima uwe deep kidogo, simaanishi haiwezekani, ni rahisi sana kama tutaenda sawa hapa.

Windows 7/vista hutakiwi kuipa nafasi iwake ndo uanze hacking ya administrator password, so huwa tunaBOOT kabla ya had disk operating system kuanza kazi.

Complex System tunakupatia Software moja, ndogo tu ya kijanja, lakini lazima uielewe matumizi,....kwa windows 7 huwa tunatumia offline password changer ambayo hubadili/kutoa password ya computer.

Downlaod software here: (A RESET FOR ALL WINDOWS VERSIONS EXCEPT WINDOWS 8)

File Attachment:

http://www.complexsystem.net/media/kunena/attachments/63/WindowsKeyPasswordReset7.7byCSST.zip

Baada ya kuwa umeidownload hiyo software hapo juu, sasa i BURN hyo software, kwa burner yoyote kama power ISO, Iso Burner, Ashampoo vyovyote vile upendavyo....Ingiza CD/ama FLASH yako kwa computer yako alafu Boot nayo..

Fuata hatua moja baada ya nyingine:

1. Enter "Offline NT/2000/XP/Vista/7 Password Changer"

2. Wait for "Offline NT Password & Registry Editor" to Load

3. Choose the Correct Hard Drive Partition

This step in the Offline NT Password & Registry Editor process is to select the partition that contains the Windows installation that you want to delete a password from.

Many computers have a single operating system installed on a single partition on a single hard drive, making this a very easy choice.
If that's the case for you, just press ENTER to accept the default partition. Otherwise, type the number corresponding to the correct partition from the Candidate Windows partitions found list and then press ENTER.

4. Confirm the Windows Registry Path
Offline NT Password & Registry Editor now needs to know the exact location of the Windows Registry. Except in the rarest of occasions, the default location will be the correct one.
Just Press ENTER to accept the default Windows Registry path without writing anything else.

5.Offline NT Password & Registry Editor is now asking which part of the registry it should load.
Press ENTER to accept the default choice of Password reset.

6. Choose the Edit User Data and Passwords Option
Now that the registry is loaded and available to the program, Offline NT Password & Registry Editor needs to know exactly what you want to do.
Press ENTER to accept the default choice of Edit user data and passwords.

7. Enter the Username to Edit
Offline NT Password & Registry Editor now needs to know which user's password you'd like to delete (erase, clear, blank, remove, call it what you like).

A default user is listed between the brackets at the prompt. In the above example, you can see that it's the Administrator user.
If the default user is the user you'd like to remove the password from, simply press ENTER. Otherwise, enter the username and then press ENTER.

8. Type 1 to Clear (blank) user password and then press ENTER
At the bottom of the screen you'll see the User Edit Menu with several options to choose from.
Type 1 for Clear (blank) user password and then press ENTER..

9. Type ! to quit the User Edit Tool
Assuming there weren't any problems, you should see a Password cleared! message after entering 1 in the previous step.
Type ! to quit editing user and then press ENTER.

10.Enter q and then press ENTER to quit the Offline NT Password & Registry Editor registry editing tool.
Important: You're still not done! You need to confirm your password reset change in the next step before it will take effect.

11. Type y and then press ENTER to confirm Password Reset Changes
At the Step FOUR: Writing back changes menu, Offline NT Password & Registry Editor asks if you want to write file(s) back.
Type y and then press ENTER.
You should see an EDIT COMPLETE message appear on screen. If you do, it means that Offline NT Password & Registry Editor has written the password changes to your computer!

12. Confirm That You're Finished Using Offline NT Password & Registry Editor
Offline NT Password & Registry Editor gives you an option here to rerun the program. If you've been following along with this guide and everything seems to have worked properly then there's little reason to repeat anything.
Press ENTER to confirm the default option of not rerunning the password reset.

WINDOW 8 ACTIVATION

Wadau leo ningependa share nanyi windows8 activation ambayo ndio windows 8 Permanet ACTIVATOR na Pia ni UNIVERSAL ACTIVATOR ya Microsoft windowsXP/ 7/VISTA na Windows 8, Office package activator na pia windows server inakuwa activated.


1_2014-03-06.jpg


Hivyo ndivyo inavyoonekana kwa mara ya kwanza wakati umefungua tuu program hii...Na kwa kuongezea tu hii program (activator) huwezesha activations hata za OFFICE, ambayo wengi wetu huwa zinakuwa hazijawa activated.

2_2014-03-06.jpg


Na kama unavyoona, ili uweze ku ACTIVATE windows 8 click button Tab hyo iliyoandikwa windows 8 + server na hapo itafunguka, cheki namna itakavyoonekana hapa

3_2014-03-06.jpg


Na hapo kama inavyoonekana kwa picha hapo, fanya ku bofya alafu yenyewe itaendelea kama kawaida na baada ya hapo ita RESTART, unaweza endelea Furahia windows 8 pro Yako safi kabisa

CHA ZIADA??

Cha kuongezea ni kwa wale wenye wa XP, 7, 8 na windows Server, activator hii hufanya kazi pia kuactivate hizo Operating Systems, kwa pale unapoifungua tu Bonyeza BEGINNER MODE Hapo utakutana na mwonekano huu, na sasa chagua pale unapotaka ACTIVATE

4_2014-03-06.jpg


Na kwa wale wa OFFICE kuna ADVANCED MODE pale wakati ume RUN tu application yako, cha kufanya Bonyeza hyo BUTTON TAB alafu itafunguka alafu activate kwa kubonyeza

OFFICE KMS ACTIVATOR
 http://complexsystem.net/CS/Complex%20Windws8%20Activation.zip